Monday, May 27, 2013

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA NNE KUTOKA WIKI IJAYO
Matokeo ya wanafunzi waliofanya Mtihani wa Kidato cha Sita na wale waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka jana kutangazwa wiki ijayo ikiwa mambo hayatabadilika.

Kwa mujibu wa Baraza la Mitihani NECTA wamesema kuwa
Matokeo ya kidato cha nne yaliyopangwa upya yatatoka wiki ijayo kama mambo yakienda sawa. Baada ya kupangwa upya.

UFAULU UMEONGEZEKA

Kwa kutumia viwango vya zamani, matokeo mapya yamewezesha kiwango cha ufaulu kupanda na kufikia asilimia kati ya 54 na 57.

Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) kufanya marekebisho alama za viwango vya ufaulu.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment