Thursday, May 30, 2013

CHID BENZ AMUENZI NGWEAR KWA TRACK,ATOKWA NA MACHOZI AKIWA STUDIOMsanii wa Muziki wa Hip Hop Chiddy Benz alimarufu kwa jina la chuma kutoka pande za Ilala amemuenzi msanii Mangwear kwa kutengeneza wimbo maarumu kwa ajiri ya Mangwear aliefariki juzi huko South Africa.

Wimbo huo wa chiddy benz unaokwenda kwa jina la R.I.P Ngwear ametengeneza kwa Produza Mbezi kwa mujibu wa Mbezi amesema kuwa wakati wakitengeneza Wimbo huo msanii Chiddy Benz alitokwa na machozi wakati wakiwa wanafanya Wimbo huo kutokana na kuifanya ngoma hiyo kwa hisia kali.

Chiddy amewaenzi marehemu wengine katka ngoma hiyo akiwemo Bikidude,Kanumba,Sharomilionea,Produza Roy,John Mjema.Sajuki,Steve 2 K,John Mjema,Viviana na Complex bila kuwasahau wanasiasa akiwemo Julius Nyerere na Sokoine Mungu alaze Pema Peponi za Marehemu wote waliotutangulia mbele za Haki.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment