Wednesday, April 17, 2013

WEMA SEPETU AMSHUKIA DIAMOND


Mwanadada Wema Sepetu alimaarufu kama Beautiful Onyenye leo hii amemfungukia Diamonds Platinum Raisi wa wasafi kutokana na mambo na vitendo anavyofanya kumuonesha na kutaka kumchafulia jina Wema Sepetu.

Wema hakutaja jina la Diamond Platinum moja kwa moja katika hicho kitu alichokiandika lakini maneno aliyoandika yanakwenda moja kwa moja kwa X wake huyo waliopigana chini na kila mtu kuanza na maisha mengine.
Mchongo mzima ulikuwa hivi ngoja nimnukuu Beautiful Onyenye
katika maisha yangu huwa sijari nini watu hufanya katika Maisha yao,nina mambo mengi ya kufikiri na kufanya sina muda wa kupoteza kwa kitu au jambo wengine walifanyalo kwa sababu nimejitosheleza”

EEEEHH Onyenye wambiee ukweli wao hao nakupa nafasi nyingine tena haya twende Wema Mwana wa Sepetu

Usinifanye nifikiri ukimyaa wangu unanipumbaza,mimi ni mtu safi,najari,mcheshi,na mstaraabu sana kwa sababu nimekuzwa hivyo na si vinginevyo,nina utaratibu wangu na nitaendelea kuwa na busara kwa kufuata utaratibu niliojiwekea wa kukaa kmya na kutofungua mdomo wangu kusema chochote”

baada ya maneno haya ilinibidi nivute pumzii kutafakari hapa Wema anamwambia Diamonds,Penny,Jokate,au Baadhi ya wadaku wanaojalibu kumchafulia jina Wema? Lakini hakuishia hapo alimaliza hiviiiiiiiiiiiiii

Hakuna mtu anaweza kumharibia Wema Sepetu Hakuna kabsa zaidi ya Mungu pekee”

maneno hayo yamemtoka Wema Sepetu leo kufuatia Kusambazwa kwa sauti zinazosikika Wema akimuomba msamaha Diamond Platinum na kumtaka waludiane kama zamani,sauti hizo zili rekodiwa kwa njia ya simu na kusambazwa kwenye mitandao ya jamiii jana.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment